The House of Favourite Newspapers

Yanga Yaipiga Mbeya City 2-1, Makambo Kama Kawa

Mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo raia wa DR Congo (katikati) akiwania mpira na wachezaji wa Mbeya City leo katika Uwanja wa Sokoine  jijini Mbeya.
…Makambo akiwekwa mtu kati.
…Makambo akishangilia baada ya kufunga bao la pili dakika 41 kipindi cha kwanza.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia.

KIKOSI cha Yanga leo  kimefanikiwa kushinda bao 2-1  dhidi ya Mbeya City katika Uwanja wa Sokoine ambayo yamefungwa na Heritier Makambo dakika ya 15 a na 41 kipimdi cha kwanza mbaye kwa sasa anafikisha mabao 11 kwenye orodha ya wafungaji.

Bao la Mbeya City lilifungwa na Iddy Seleman dakika ya 23 kwa kichwa akiwa katikati ya mabeki wa Yanga Kelvin Yondani na Abdalah Shaibu.

Kikosi cha timu ya Yanga kilikuwa ni

1. Kabwili

2. Godfrey
3. Gadiel
4. Shaibu
5. Yondani

6. Feisal
7. H. Moshi
8. Ajibu
9. Ngassa

10. Makambo
11. Tambwe

WAKOKOTOAJI 6 WA ZIADA.

1. Kindoki
2. Abdul
3. Kaseke
4. Buswita
5. Jafarry
6. Maka

PICHA NA MUSA MATEJA | GPL

Comments are closed.