The House of Favourite Newspapers

ZIFAHAMU HIT SONGS 15 ZA JUSTIN BIEBER

Akiwa anashikilia nafasi ya 11 duniani kwa kuwa na wafuasi 102.9 katika akaunti yake ya Instagram, msanii Justin Bieber pia ameweka rekodi ya kuachia nyimbo nyingi zinazofanya vizuri mpaka wakati huu katika mitandao mbali mbali ya nyimbo.

 

Leo hii utazijua nyimbo 15 alizofanya Justin ambazo kwa upande mwingine ameshirikishwa na zikafanya vizuri kwenye radio, Tv, kwenye takwimu na kwingineko.

15: 2U(TO YOU) – David Guetta Ft Justine Bieber

14: Never Say Never – Justin Bieber Ft Jaden Smith

13: As Long As You Love Me – Justun Bieber Ft Big Sean

12: I’ll Show You  – Justin Bieber

11: Somebody To Love – Justin Bieber Ft Usher

10: I’m The One – Dj Khaled Ft Justin Bieber

09: Right Here – Justin Bieber Ft Drake

08: Die In Your Arms – Justin Bieber

07: Run Away Love – Justin Bieber Ft Kanye West

06: Love Yourself  – Justin Bieber

05: Boyfriend – Justun Bieber

04: What Do You Mean – Justin Bieber

03: Baby – Justin Bieber Ft Ludacriss

02: Despacito Remix – Luis Fonsi Ft Justine Bieber

01: Sorry – Justin Bieber

Comments are closed.