The House of Favourite Newspapers

Zilivyokamatwa Mashine Feki za Kubeti za Wachina – Video

Jeshi la polisi Mkoani Arusha Limekamata Mashine feki za Wachina zinazotumika kuchezeshea kamari ambazo ziliingizwa nchini kinyume na Utaratibu na hazitendi haki kwa watumiaji.

Comments are closed.