Zitto Aing’ang’ania Serikali “Tume Huru na CORONA” – Video
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amezidi kuing’ang’ania serikali juu ya suala la Tume huru ya uchaguzi.
Zitto amezungumza leo tarehe 2 Machi 2020 katika ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama hicho ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho na pia ametumia nafasi hiyo kugusia tishio la virusi vya Corona.


