Barnaba Classic Anakukaribisha Kuisikiliza ‘Washa’ Wimbo Mpya
‘Niliyenaye Hana kasoro yanini vipori, uliniacha totoro bila godoro, penzi kibiriti #washa’. Baadhi ya mashairi yanayopatikana kwenye wimbo mpya wa Barnaba Classic unaoitwa Washa.
Wimbo umetengenezwa na Abbah Process na kumaliziwa na The Mix Killer.
Unaweza ku download chini baada ya kuusikiliza kama umeupenda.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Isikilize hapa.
Comments are closed.