The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Makontena tisa yakamatwa Dar

BREAKINGNEWS3makontenaMfano wa makontena ytaliyokamatwa.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamekamata makontena 9 wanayoyatilia mashaka kuwa, huenda yalikuwa yanatoroshwa. Makontena hayo yamekamatwa eneo la Tanki Bovu katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Mpaka sas bado haijafahamika ndani ya makontena hayo kuna nini.

 

Habari zaidi, endelea kufuatilia mtandao wetu.

Comments are closed.