The House of Favourite Newspapers

TANCDA Yapima Afya za Wabunge Dodoma

0
Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang’ata (CCM) Mkoa wa Rukwa, akipimwa mapigo ya moyo wakati wa programu maalumu ya wabunge kupimwa afya zao. Programu hiyo ilifanywa bure na Shirikisho la Vyama vya Magonjwa yasiyo ya Kuambukiza katika Zahanati ya Bunge, Dodoma leo.Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Leonidas Gama akipimwa afya na Muuguzi Asha Shao bungeni Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum, Joyce Sokombi akipimwa afaya na Muuguzi kutoka Hospitali ya Mkoa wa Dodoma Asha Shao. Katikati ni muuguzi mwingine Christina Chamwela.Mhudumu wa Afya wa Hospitali ya Dodoma akimpima kimo MbungeMbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Costantine Kanyasu akipimwa mapigo ya moyo.Mbunge Kanyasu akipimwa kimo.Mbunge wa Jimbo la Nachingwe, Hassan Masala akipimwa kimo.Mbunge wa Jimbo la Makambaku, Deo Sanga akipimwa afya.Baadhi ya wabunge wakipata ushauri nasaha.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Leave A Reply