The House of Favourite Newspapers

Tetemeko jingine la ardhi laikumba nchi ya Myanmar

0

tetemeko Tetemeko jingine la ardhi lenye ukubwa wa ritcha 6.8 limekumba Myanmar na kuuwa takribani watu watatu na kujeruhi wengine 20 huku likiharibu vibaya makazi ya watu na maeneo ya kuabudu.

tetemekooWatu watatu wameripotiwa kufariki katika tetemeko hilo ambalo lilisikika mpaka mji wa Bangkok nchini Thailand na Dhaka nchini Bangladesh.

tetemekon tetemekos tetemekosd tetemekosdss tetemekosd - Copy  Zaidi ya watu elfu moja waliokua wanasheherekea sherehe za kibudha wameathiriwa na tetemeko hilo.

Leave A Reply