The House of Favourite Newspapers

Washindi wa Tuzo Ligi Ya La Liga msimu wa 2015-16

la-liga-1Mshambuliaji, Antoine Griezmann ndiye mwanasoka anayependwa zaidi na mashabiki katika Ligi Kuu Hispania.

la-liga-2Mshambuliaji nyota wa FC Barcelona, Luis Suarez ameteuliwa kuwa mwanasoka bora wa dunia kwenye La Liga.

la-liga-3Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric ameshinda tuzo ya kiungo bora wa La Liga kwa msimu wa 2015-16.

la-liga-4Mshambuliaji Bora wa Ligi Kuu Hispania, La Liga ni Muargentina, Lionel Messi ambaye ni nahodha namba mbili wa FC Barcelona.

Comments are closed.