The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 25, 2024 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Leave A Reply