The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Ashuhudia Utiaji Saini wa Makubaliano ya Serikali na Kampuni za Madini

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia anashiriki hafla ya Uwekaji Saini ya Makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini za Black Rock Mining Limited, Strandline Resources Limited na Nyanzaga katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre, Dar es Salaam leo tarehe 13 Desemba, 2021

 

Leave A Reply