The House of Favourite Newspapers

Nick Minaj Aingia Kwenye Penzi la Future

Nick Minaj na DeMun Wilburn ‘Future’

MWANAMUZIKI wa Hip Hop, Nicki Minaj ameingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake ambaye ni rapa, Nayvadius DeMun Wilburn ‘Future’.

Inaelezwa kuwa, wawili hao walikuwa  na ‘project’ ya kimuziki kwa muda wa wiki mbili iliyowaweka karibu na kujikuta wakiingia kwenye uhusiano huo. Mtu wa karibu na Nicki alivujisha picha zinazowaonesha wawili hao wakiwa kimahaba zaidi ndani ya studio huku wakichukuliwa vipande vya video.

Hata hivyo, jambo hili limeonekana kuwashangaza watu waliokuwa studio kwani kwa muda mrefu Future amekuwa si mwanaume wa kushobokea wanawake. Mara ya mwisho alikuwa katika uhusiano na mwanamuziki, Ciara na hakusikika tena kuwa na mwingine mpaka leo hii alipotajwa kuwa na Nicki

 

Comments are closed.