The House of Favourite Newspapers

Jukwaa la Katiba Lajadili Mwendelezo wa Mchakato wa Katiba

Mtoa mada katika Mkutano Mkuu wa Kitaifa wa Jukwaa la Katiba, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othuman Masoud, akizungumza jambo.

MKUTANO  mkuu wa kitaifa wa Jukwaa la Katiba Tanzania leo umejadili mambo mbalimbali yakiwemo pia masuala ya maslahi ya Zanzibar Katika Mchakato wa Katiba  Inayopendekezwa.

Viongozi mbalimbali wakifuatilia moja ya mada zilizotolewa..
Wageni waalikwa wa mkutano huo wakifuatiliwa mada mbalimbali.
Taswira ya mkutano huo ilivyoonekana.

 

Mkutano ukiendelea.

Mkutano huo ulianza jana na kumalizika leo katika Hoteli ya Land Mark, Ubungo jijini Dar es Salaam, ambapo wazungumzaji mbalimbali walitoa mada na kuwasilisha mapendekezo yao akiwemo mwanasheria wa zamani wa Zanzibar mwaka tangu mwaka 2011 hadi 2014, Othman Masoud,  aliwasilisha mada mbalimbali juu ya mkutano huo.

Kwa taarifa kamili tembelea www.globaltvtz.com.

Na Denis Mtima/GPL.

Comments are closed.