Nafasi za Kazi kutoka Gazeti la Risasi leo Jumatano

KIMZA ARTS GROUP NAFASI: WAIGIZAJI SIFA: Wanawake (30) kuanzia umri wa miaka 18-50, wanaume (11) umri kuanzia miaka 18-50, wanaojua kusoma na kuandika, walio siriazi kwenye mazoezi na wawe tayari kufundishwa. MAWASILIANO: 0653 154975 Mwisho wa kutuma maombi ni hadi watakapopatikana **

EFC TANZANIA MICROFINANCE BANK LTD NAFASI: Meneja Mikopo SIFA: Anatakiwa mtu mwenye uelewa wa masuala ya mikopo, awe na digrii ya biashara, uzoefu wa miaka 5 katika taasisi ya fedha, mwenye
mipango, mwenye uwezo wa mawasiliano kwa kuzungumza na kuandika

MAWASILIANO: Human Resources Department, P.O. Box 11735, Dar es Salaam, Tanzania. Mwisho wa kutuma maombi ni Julai 21, 2017 **

PROACTIVE EMPLOYMENT SOLUTION CO. LTD (PES) NAFASI: INJINIA SIFA: Mwenye shahada ya uzamivu ya Uinjinia, uzoefu miaka mitano, ikiwemo kufanya kazi na kampuni za ujenzi, mwenye ufahamu wa miradi ya mikopo katika vyombo vya fedha vya kimataifa, anayefahamu lugha ya Kijerumani atafaa zaidi
MAWASILIANO: P.O Box 60599, DSM, Tanzania, Email: jovine. mwakipembe@pes. co.tz, info@pes.co.tz Mwisho wa kutuma maombi ni Julai 7, 2017 **

HATUA SAFI GROUP NAFASI: Madereva bodaboda/ Bajaj SIFA: Wawe na leseni zilizo hai, uzoefu wa kazi hiyo, wasio na rekodi ya ajali za barabarani, waaminifu MAWASILIANO: 0745 086 137 Mwisho wa kutuma maombi ni hadi atakapopatikana **

SALVATION INVESTMENT SUPER SEMBE NAFASI: Mawakala wa usambazaji unga SIFA: Vijana waliomaliza
kidato cha nne, hata la saba pia watafikiriwa, wake kwa waume, waweze kufanya kazi popote Tanzania, Rwanda na Kongo (DRC), awe mwaminifu na mwenye lugha ya staha MAWASILIANO: 0620 253528 Mwisho wa kutuma maombi ni hadi atakapopatikana **

MTU BINAFSI NAFASI: Mhudumu wa Pub SIFA: Awe mchapakazi, mwenye kujipenda, mcheshi na mwenye kuipenda kazi yake MAWASILIANO: 0769 447929 Mwisho wa kutuma maombi ni hadi atakapopatikan


Loading...

Toa comment