The House of Favourite Newspapers

Floyd Mayweather Amtandika Conor McGregor Round Ya 10 (Full Video)

0

Conor McGregor (kulia) akiendelea kupambana na mpinzani wake Floyd Mayweather (kushoto) katika pambano lao asubuhi ya leo.
Conor McGregor akiwa kamkumbatima mpinzani wake.
Floyd Mayweather (kulia) akimpa makonde ya nguvu.
Conor McGregor akiwa hoi.

Floyd Mayweather ametimiza pambano la 50 katika ngumi za kulipwa akicheza bila ya kupoteza.

Mayweather amempiga bingwa wa michezo ya UFC (ngumi na mateke), Conor McGregor kwa TKO katika raundi ya 10.

Mwamuzi alilazimika kuingilia na kusimamisha pambano katika raundi ya 10 baada yya kuona Mayweather anamuangushia kipigo kikali McGregor raia wa Ireland ambaye hakuwa akijibu kitu tena.

JEFF POWELL’S SCORECARD 
MAYWEATHER ROUND MCGREGOR
9 1 10
9 2 10
9 3 10
10 4 9
10 5 9
10 6 9
10 7 9
10 8 9
10 9 9
87 TOTAL 84

DONE…. Mayweather ameshinda kwa TKO katika raundi ya 11

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Mayweather anamshambulia kwa makonde mazito mpinzani wake

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

RAUNDI YA 4 Kidogoooool kama Mayweather kaanza kuamka….. inaonekana McGregor ATAKAAA

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Mayweather awe makini angalia ANGALIA alichofanya McGregor RAUNDI YA KWANZA

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Leave A Reply