The House of Favourite Newspapers

Riyama Anakomaa Na Maisha Yake

0
Riyama Ally.

MWIGIZAJI mwenye uwezo mkubwa wa kuigiza Bongo, Riyama Ally amefunguka kuwa, maisha anayoishi kipindi hiki ni ya kukomaa na kivyakevyake kuliko kuyachunguza ya mtu mwingine.

Riyama aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, kila kukicha anafikiria afanye nini ili aweze kupambana na maisha ya sasa hivi, ukizingatia ana mtoto anayehitaji malezi na elimu bora.

“Sasa hivi mimi ninapambana na kukomaa na maisha yangu. Sina muda wa kuangaika na maisha ya mtu mwingine wala kuyajua yasiyonihusu,” alisema Riyama

Leave A Reply