×

May 2017

Mfumuko wa Bei Waongezeka kwa Asilimia 0.5

Mfumuko wa bei wa mwezi kwa Aprili mwaka huu, unaopimwa kwa kila mwezi, umeongezeka kwa asilimia 0.5 ikilinganishwa na ongezeko...

READ MORE

Wabunge Wametoa Posho Yao ya Leo Rambirambi kwa Wafiwa Karatu

DODOMA: Wabunge wote wamekubali kutoa posho yao yote ya leo kwa ajili ya rambirambi kwa familia za wanafunzi 32 waliopoteza...

READ MORE

PICHAZ +VIDEO: Mashujaa Watoto wa Karatu Walivyoagwa Arusha

Arusha Ilivyozizima Miili ya Wanafunzi Waliokufa kwa Ajali Ikiagwa ARUSHA: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi....

READ MORE

Flora, Ha-Baba Warudiana

Stori: Stori: Gladness Mallya | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Mastaa wawili Bongo ambao walikuwa wanandoa kisha wakatengana kwa muda,...

READ MORE

Waarabu Wamuita Msuva

Said Ally na Omary Mdose | CHAMPIONI| DAR ES SALAAM UHAKIKA wa kiungo wa Yanga, Simon Msuva kubakia ndani ya...

READ MORE

Aungurumapo Simba…

Sweetbert Lukonge|CHAMPIONI| Dar es Salaam SIMBA jana waliunguruma tena na kurejea tena kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada...

READ MORE

Vilio vya Mastaa kwa Wanafunzi Waliokufa Arusha

Arusha Ilivyozizima Miili ya Wanafunzi Waliokufa kwa Ajali Ikiagwa MAJONZI yamegubika nchi nzima kufuatia tukio la kihistoria la ajali ya...

READ MORE

Fakhi aokoa pointi 3 za Yanga

Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa | CHAMPIONI | DAR ES SALAAM ISHU ya Mohammed Fakhi, juzi Yanga waliikumbuka na kukwepa...

READ MORE

VIDEO +PICHAZ: Zoezi Kuaga Miili ya Wanafunzi Waliofariki kwa Ajali Karatu

Arusha Ilivyozizima Miili ya Wanafunzi Waliokufa kwa Ajali Ikiagwa Makamu wa Rais wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan (kushoto),  akipokewa na...

READ MORE

Niyonzima siyo wa mchezo mchezo

Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI| Dar es salaam KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, juzi Jumamosi aliudhihirishia umma wa wapenzi...

READ MORE

Wasanii na Swaga za Kiswanglish Kwenye ‘Interview’

Na Ally Katalambula|IJUMAA WEKIENDA|GPL April 17 mwaka huu Msanii wa Bongo Fleva anayechipukia kwa kasi kwenye sayari ya muziki wa...

READ MORE

JINI MTU-14

“Uchawi maana yake ni mkataba baina ya mchawi na shetani,  wana wa zuoni wanasema, hakuna uchawi unao weza kufanya kazi...

READ MORE

Linah, Kijijini Kwenu Mitandao Ipo?

NA MWANDISHI WETU: IJUMAA WIKIENDA | POVU LA WIKI Kuna vitu vingine inakuwa vigumu kuviacha vipite bila kuvizungumzia, hasa vinapofanywa...

READ MORE

Nay, Shilole Kuipeleka Wapo Dar Live

NA MWANDISHI WETU: GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA STAA wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ anatarajiwa kuungana na msanii...

READ MORE

Fuatilia Live Yanayojiri Bungeni Dodoma – Jumatatu Mei 8

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamesimama kwa dakika moja ikiwa ni kuwakumbuka watu 36 wakiwemo wanafunzi...

READ MORE

RAY C Afungukia Kutoka na Mbunge

Stori: Ally Katalambula, IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Sexy lady mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amefunguka kuwa...

READ MORE

Ajali Mbaya ya Coaster na Lori Yaua Muheza, Tanga

TANGA: Ajali mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo katika Kijiji cha Lusanga wilayani Muheza ambapo basi aina ya Coaster likitokea...

READ MORE

Wazungu Kumpa Mtihani wa Kwanza Himid Kesho

Ibrahim Mussa | CHAMPIONI| Dar es Salaam Himid Mao, kesho Jumanne anatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa majaribio akiwa...

READ MORE

Tambwe Amfunika Kichuya

Omary Mdose | CHAMPIONI| Dar es Salaam STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, amemfunika kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya kwa...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Mei 8, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 8, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Video: Giza Nene Latanda Jijini Arusha Maiti za Wanafunzi Zikiwasili Hospitali

Miili ya marehemu ikishushwa kutoka kwenye ambulance Zoezi la kuteremsha miili likiendelea. Polisi wakiimarisha ulinzi nje ya Hospitali ya Mt....

READ MORE

LIVE Bongo Movies: JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 5

  SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora...

READ MORE

Usikose Tamthilia ya Jumba la Dhahabu Leo Saa 12:30 Jioni- Global TV Online

TAMTHILIYA ya Jumba la Dhahabu ambayo iliibua hisia za watu wengi na kutokea kupendwa na kila rika ‘soon’ itaendelea kuonekana...

READ MORE

FT: Simba 2-1 African Lyon Uwanja wa Taifa

Mpira Umemalizika, Simba wanachukua pointi zote tatu. Dakika ya 90: Mashabiki wa Simba wanashangilia lakini bado mchezo haujamalizika. Dakika ya...

READ MORE

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Kuongoza Kuaga Wanafunzi Waliofariki Arusha Kesho

Makamu wa Rais, Samia Suluhu kesho saa mbili asubuhi ataongoza wakazi wa Arusha katika Uwanja wa Sheikh Abeid Karume kuaga...

READ MORE

Ajali ya Basi na Lori Yajeruhi 10, Watatu Wana Hali Mbaya

Walikuwa wakitoka Turiani kwenda Morogoro ndipo basi hilo lilipogongana uso kwa uso na lori lililokuwa likitokea Morogoro kwenda nchini Rwanda....

READ MORE

Wasichana 82 Waliotekwa na Boko Haram 2014 Waachiwa Huru

 Wasichana 84 waliotekwa nyara kutoka shule moja iliyopo katika Mji wa Chibok, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria mwaka 2014 na wanamgambo...

READ MORE

Chadema Wamtolea Wema Tamko! Wafuasi Wadai Anawasaliti

Waandishi Wetu | Risasi Jumamosi | Habari DAR ES SALAAM: Baada ya staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu kuvaa nguo...

READ MORE

Mrembo Achomwa Visu na Mpangaji Wake, Kisa Kandambili za Chooni

Stori: Waandishi Wetu | Risasi Jumamosi | Habari DAR ES SALAAM: Aisha Salum, mrembo mkazi wa Kiwalani nje kidogo ya...

READ MORE

Nay wa Mitego: Nyumba Yangu Ikiwaka Moto Nakimbia na Sanamu tu

Na Boniphace Ngumije | Risasi Jumamosi | Mpaka Home MAMBO vipi mpenzi msomaji wa Mpaka Home? Kama kawaida ya kolamu...

READ MORE

Fainali ya Shika Ndiga Yafana, Wawili Waondoka na Ndinga

Umati uliofurika kufuatilia fainali ya Shika Ndinga Suleiman Mlela, Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Baraza la Taifa la...

READ MORE

Hii Hapa Orodha ya Majina ya Wanafunzi Waliofariki kwa Ajali Karatu

Hii ni Orodha ya Majina ya wanafunzi waliofariki dunia baada ya ajali mbaya kutokea wilayani Karatu. Wanafunzi zaidi ya 32, wa...

READ MORE

Video: Maalim Seif Awalilia Wanafunzi Waliofariki kwa Ajali Arusha

Na Elvan Stambuli Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamadi jana ametoa salam za rambirambi kutokana...

READ MORE

VIDEO: Q Boy wa WCB Amwaga Machozi Kuondoka WCB, Awataja Mondi, Kiba na Dimpoz

MSANII Q-Boy Msafi aliyekuwa akifanya kazi kwenye lebo ya WCB, amejikuta akimwaga chozi katikati ya interview na Global TV Online...

READ MORE