Rc Chalamila Atembelea Na Kukagua Miundombinu Ya Tanesco Dsm
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea kituo kikuu cha kuzalisha umeme TANESCO kilichopo Ubungo Jijini Dar es salaam pamoja na vituo vya kupoza umeme vya mabibo na Mbagala ikiwa ni katika kukagua…