Video: Eric Shigongo awahimiza vijana kuanzisha vyanzo vingi vya mapato
MWANZA — Zaidi ya wanafunzi 1,500 kutoka vyuo vikuu mbalimbali jijini Mwanza wamehudhuria kongamano maalum la vijana lililoandaliwa na Mwandishi na Mjasiriamali, Eric Shigongo, lililofanyika katika ukumbi wa Rock City Mall, ambapo…