The House of Favourite Newspapers

Barua ya Profesa Kitila Mkumbo Kwenda Kwa Mkuu wa Kanisa la KKKT

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Dk Kitila Mkumbo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Dk Kitila Mkumbo amemwandikia barua Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Askofu Frederick Shoo akitoa maoni yake binafsi kwa kanisa hilo kuhusu maudhui ya waraka wa maaskofu wa kanisa hilo uliotolewa hivi karibuni.

Comments are closed.