QUEEN ELIZABETH ATWAA TAJI LA MISS KINONDONI

Queen Elizabeth Makune (katikati) akiwa na tabasamu baada ya kutwaa taji la Miss Kinondoni 2018 katika kinyang’anyiro kilichofanyika Millenium Tower Kijitonyama jijini Dar usiku wa kuamkia leo (Jumamosi). Kulia ni mshindi wa pili,  Moreen Joseph,  na kushoto ni mshindi wa tatu wa taji hilo, Alice Joseph.

Mrembo Malkia Elizabeth usiku wa kuamkia leo aliibuka mshindi katika kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Kinondoni baada ya kuwabwaga wenzake 17 katika kipute hicho.

Waliofanikiwa kuingia tano bora.

Vazi la jioni.

Christian Bella akiimba kwa madaha mbele ya warembo.

Mwigizaji, Dokta Cheni,  akifuatilia mpambano huo.

Sehemu ya mashabiki waliofika ukumbini.

Asha Baraka (katikati) naye alikuwepo.

PICHA/HABARI: RICHARD BUKOS/ GPL

Toa comment