Halima Kopwe Ashinda Taji la Miss Tanzania Kutoka Mtwara, Rais Samia Kujenga Ukumbi wa Kimataifa Dar…
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Rais Samia imedhamiria kuinua kuinua kiwango cha mashindano ya urembo nchini ikiwa ni pamoja na kujenga ukumbi wa kimataifa katika jiji la Dar es…
