Katika mafunzo ya siku tano ambayo yalihitimishwa Julai 20 mwaka huu, Mhariri wa gazeti la Mtanzania, Bakari Kimwanga alitoa neno la shukrani kwa niaba ya waandishi wa habari na wahariri walioshiriki katika mafunzo hayo, katika maneno yake ya shukrani kwa niaba ya waandishi wengine Bw. Kimwanga aliishukuru Mahakama ya Tanzania kwa kuandaa mafunzo hayo kwani wamejifunza mambo mengi ya Kimahakama ambayo yatawasaidia kama mwongozo katika utendaji wao wa kazi wa kila siku.
(Picha na Mary Gwera)
Comments are closed.