The House of Favourite Newspapers

MIZIGO YAMKONDESHA FAIZA

WIGIZAJI wa Bongo Movies ambaye pia ni mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally amesema kuwa anakonda kutokana na mizigo ya watu kuchelewa kufika kwa wakati.

 

Faiza aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, watu wengi wanamzungumzia na kumshangaa jinsi alivyopungua, lakini hawajui ni jinsi gani hali wala halali usiku kwa sababu ya mizigo ya watu kuchelewa kufika bandarini.

 

“Watu wengi wananiuliza ninakondeshwa na nini, lakini hawajui ni jinsi gani ninakosa amani mizigo ya watu walioniagiza isipofika kwa wakati ninachanganyikiwa kabisa,” alisema Faiza. Hivi karibuni Faiza alianzisha biashara ya watu kumuagiza vitu China kisha anawaletea na kumlipa.

 STORI: Imelda Mtema, DAR

EXCLUSIVE: Mama mkwe wa ‘MUNA’ kapasua Jipu! “Kweli ana Mtoto”

Comments are closed.