The House of Favourite Newspapers

Tunda Hajui Kubembeleza Mwanaume

MUUZA nyago maarufu kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian amefunguka kuwa, watu wanamuona hawezi kudumu na mwanaume mmoja, lakini ni kwa sababu hapendi kufanyiwa ujinga kisha kunyamaza kama walivyo wanawake wengine.

 

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Tunda alisema sasa hivi wanaume wengi wanapenda kuwachezea wanawake kwa sababu wanawajua ni dhaifu, lakini wangejitambua thamani yao wala wasingekubali kupelekeshwa na wanaume.

 

“Sijui kabisa kitu kubembeleza mwanaume ni kitu ambacho sijajaliwa kabisa. Mimi najua kupenda kama mwanaume atakavyonipenda, lakini mambo mengine hapana, vitu vingine anatakiwa anifanyie mimi kama mwanamke wake,” alisema Tunda.

STORI: Imelda Mtema, DAR
 

Sasa Fuatilia Exclusive Interview hii Baba Diamond amefunguka A-Z kuhusiana na ishu hii.

Comments are closed.