The House of Favourite Newspapers

TBA yanadi mradi wa nyumba Bunju kwa watumishi wa Serikali Mikoa ya kusini

Meneja wa TBA Mkoa wa Njombe Mhadisi Abubakar Shekhan (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo juu ya maendeleo ya ujenzi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe. 
Timu ya Maafisa Masoko na Uhusiano wa TBA Makao Makuu wakikagua ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe .   
Afisa Masoko Isaack Mwaipopo akitoa maelezo juu ya utaratibu wa kununua na Sifa za kumiliki Nyumba kwa watumishi wa Serikali mkoani Njombe.
Maafisa Masoko TBA Fredrick Kalinga(Kulia) na Gwamaka Mwangasa (Kushoto) Wakigawa vipeperushi kwa watumishi wa umma vinavyoelezea jinsi ya kumiliki nyumba za TBA kwa wafanyakazi wa TEMESA  mkoani Mbeya.
Timu ya Maafisa masoko na Mahusiano wakikagua Nyumba ya Mkuu wa Wilaya ya Mombo Ambayo iko katika hatua za mwisho inayojengwa na TBA. Pia walikagua ujenzi wa hospitali ya wilaya katika Mji wa Tunduma na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe.

Comments are closed.