The House of Favourite Newspapers

+255 GLOBAL RADIO YATAMBULISHWA KWA KISHINDO DAR LIVE

+255 GLOBAL RADIO imetambulishwa kwa mara ya kwanza sikukuu hii ya Pasaka ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar es Salaam na wafanyakazi wa redio hiyo.

+255 Global Radio ni wadhamini wa shoo hii ya Pasaka inayofanyika usiku huu ambapo wamepanda stejini kugawa zawadi za fulana kwa mashabiki waliojitokeza.

Click to LISTEN LIVE NOW. 👇🏽

http://ndstream.net/globalradio Link ikishafunguka, bonyeza Player imeandikwa Global Radio. Hakikisha una Data, japo kidogo tu. KIPINDI HEWANI hivi sasa ni Burudani ya Muziki🎼🎤 Non Stop, Ngoma 24/7

Watangazaji na wafanyakazi  wa +255 Global Radio wakiwa katika steji ya Dar Live kutambulisha ujio wa redio hiyo.
Mtangazaji wa +255 Global Radio, Mpangala ‘PMP’ (kushoto) akitambulisha watangazaji wa Radio hiyo (hawapo pichani) na mashabiki na DJ Pirlo (kulia).
Kikosi cha +255 Global Radio.
Mtangazaji wa +255 Global Radio, Stewat George akiongea jambo.
DJ Supar wa +255 Global Radio akifanya yake

PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL

Comments are closed.