The House of Favourite Newspapers

AUSSEMS AWA KOCHA BORA LIGI KUU BARA

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems.

Kamati ya Tuzo imemchagua Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems kuwa Kocha Bora wa Machi akiwashinda Kocha Mkuu wa Azam, Abdul Mingange na Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila, katika mwezi huo Simba ilishinda michezo yote mitatu iliyocheza ikiwa nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo.
Kocha huyo atazawadiwa sh. 1,000,000 (milioni moja) na kombe (trophy) kutoka Biko Sports.

Comments are closed.