Waziri Mkuu afungua Mkutano Mkuu wa 35 wa (ALAT),Atembelea Banda la NMB

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa akipata maelezo ya huduma za kibenki kutoka kwa Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo na wa Kati , Filbert Mponzi alipotembelea kwenye banda la Benki ya NMB kwenye Mkutano wa ALAT unaoendelea jijini Mwanza. Wengine ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Serikali cha NMB, Vicky Bishubo (Kushoto).

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa akimweleza Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo na wa Kati wa NMB, Filbert Mponzi jinsi Serikali inavyothamini Benki ya NMB kama Benki ya Serikali alipotembelea banda la Benki ya NMB kwenye Mkutano wa ALAT unaoendelea jijini Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Serikali cha NMB,  Vicky Bishubo na Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Abraham Augustino.


Loading...

Toa comment