Hammer Q Amshauri Baba Diamond, Amkataa Mzee Yusuph -Video
MSANII wa Taarab, Hammer Q leo Januari 22, 2021 amefunguka kupitia kipindi cha KATAMBUGA Cha 255 Global Radio na kueleza kuwa muziki wa Zanzibar haupewi nafasi kwenye vyombo vya habari vya Tanzania Bara.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx