Mshindi wa Maokoto Chini ya Kizibo Aondoka na Zawadi ya Shilingi 500,000

Mshindi wa shindano la maokoto kutoka Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro linaloendeshwa kupitia vizibo vya vinywaji vya Kampuni ya Bia ya Serengeti SBL, Evodious Wilbard (Kushoto) akipokea hundi ya mfano ya tsh 500,000 kutoka kwa Christian John Kakunguru ambaye ni Mwakilishi wa mauzo ya kampuni ya SBL Moshi mjini, hafla ya kukabidhi zawadi hiyo ilifanyika katika Bar ya Hugos garden iliyopo Manispaa ya Moshi.


