The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Noah Yapata Ajali na Kuuwa Watu Rombo

0

AJALI ROMBO (3)Gari hilo likiwa limeharibika vibaya baada ya kupata ajali.

WATU wapatao sita wanasadikiwa kuwa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Noah yenye namba T568 BNZ walilokuwa wakisafiria kupata ajali mbaya katika Barabara ya Mwika – Himo eneo la Makerere wilayani Rombo.

AJALI ROMBO (4)

Gari hilo linasemekana kuwa lilikuwa likitokea Tarakea kuelekea Moshi hivyo kupata ajali ambapo mpaka sasa idadi kamili iliyothibitishwa na vyombo vya usalama kuhusu watu waliopoteza maisha kutokana na ajali hiyobado  haijapatikana.

AJALI (1) AJALI (2) AJALI (3)

Leave A Reply