The House of Favourite Newspapers
gunners X

Zuchu Aishi Nyumba Ya Mil. 44 Kwa Mwaka

0

MSANII wa Bongo Fleva kutoka WCB, Zuchu ameweka wazi sababu ya kuishi kwenye nyumba ambavyo analipa shilingi milioni 44.4 kwa mwaka, Zuchu anasema hiyo ni kutokana na anataka maisha yake ndiyo yaamue bei yake kama msanii.

 

“Tunaongea ukweli, msichana kama mimi ninaweza kukaa apartments ya vyumba viwili sio kwamba siwezi, naweza lakini mtu mwenye kampuni akiangalia ninapoishi na bei yangu vitaendana?” Anasema.

 

“Sababu huwezi kumtajia endorsement ya milioni 200 kama unakaa kwenye chumba cha 50,000, yaani your life should accomplishment your price,” anasema Zuchu.

Leave A Reply