Siku Moja Baada ya Kifo cha Binti Yake, Mama wa Carrie Fisher Naye Aaga Dunia
IKIWA ni siku moja tu tangu mwanaye (Carrie Fisher) apatwe umauti kwa matatizo ya moyo wakati akiwa safarini kutoka London, Uingereza kwenda Los Angeles, Marekani, Msanii wa Hollywood Debbie Reynolds amefariki dunia jana Jumatano, Desemba…