VIDEO: Walichokizungumza Mwigulu, Lowassa Mazishi ya Nkaissery Kenya
Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba wamehudhuria mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Jenerali Joseph Nkaissery aliyefariki ghafla Julai 8,…