Janeth: Nilipelekwa kwa TB Joshua Ili Niache Kuimba
STORI: IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | MPAKA HPME
KILA wiki, sehemu yetu ya kuweza kujua maisha mbalimbali ya mastaa wetu Bongo ni hapahapa ndani ya Mpaka Home. Wiki hii tunaye mwanadada aliyetamba na Bendi ya The African Stars…