Wazo Langu Limefika; Nakushukuru Waziri Mkuu Majaliwa, Umenena
Na ERIC SHIGONGO| GAZETI LA UWAZI| NAPASUA JIPU
NAAMINI kwamba wasomaji wote wa safu hii hamjambo, kama hivyo ndivyo basi hatuna budi kumshukuru Mungu aliyetufanya leo tuwe pamoja katika makala haya. Wiki iliyopita niliandika katika…