The House of Favourite Newspapers

Wananchi Wamfanya Kitu Mbaya Meya

MEYA wa Mji mmoja mdogo amevamiwa na Waandamanaji wa Upinzani ambapo alitembezwa mitaani bila viatu huku akiwa amepakwa rangi nyekundu na kisha kukatwa nywele kwa lazima. Meya huyo, Patricia Arce kutoka Chama Tawala alikabidhiwa kwa…