The House of Favourite Newspapers

ACT Wazalendo Wamchagua Othuman Masoud kuwa Mwenyekiti wa Chama – Video

0

Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo umemchagua Othuman Masoud kuwa mwenyekiti wa chama hicho baada ya kuchaguliwa kwa kura 539, sawa na asilimia 99.6 ya kura zote zilizopigwa.

Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara imechukuliwa na Isihaka Mchinjita aliyechaguliwa kwa kura 517 sawa na asilimia 96.1, huku nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar ikienda kwa Ismail Jussa aliyeshinda kwa kura 509 sawa na asilimia 99.6 ya kura zote zilizopigwa.

Leave A Reply