The House of Favourite Newspapers

Adele Afunika Tuzo za Brit

0

adeleAdele.

London’s O2 Arena

Malkia wa pop duniani, Adele kutoka nchini Uingereza, amefunika kwenye tuzo za Brit 2016 baada ya kunyakuwa tuzo nyingi zaidi kuliko wengine.

Brit Rihanna (1)Rihanna na Drake wakicheza wimbo mpya wa Rihanna “Work” aliyomshilikisha Drake wakati wakitumbuiza kwenye sherehe za ugawaji wa tuzo hizo.

Tukio hilo la kihistoria kwenye tasnia ya muziki duniani, limefanyika usiku wa kuamkia leo huko London’s O2 Arena, Uingereza ambapo mwanadada Adele alinyakuwa tuzo nne za Brit.

Brit Rihanna (7)Adele akitoa machozi baada ya kutajwa tuzo ya tatu kati ya nne alizoshinda.

”Kurudi baada ya mda mrefu na kupokewa kwa taadhima ni muhimu sana kwangu,”alisema Adele.
Nyota huyo aliyefunga hafla hiyo kwa kucheza wimbo wake wa ‘When we Were Young’, pia alipokea tuzo ya wimbo bora nchini Uingereza pamoja na tuzo ya Kimataifa ya ufanisi.

Brit Rihanna (2)

Sherehe hiyo pia ilishirikisha kumbukumbu za marehemu David Bowie zilizoendeshwa na Annielennox na Gary Oldman.
Oldman baadaye alikubali tuzo kwa niaba ya mwanamuziki huyo na familia.

biebberJustin Bieber

Mbali na Adele, wasanii wengine waliojinyakulia tuzo ni James Bay, Coldplay, Justin Bieber, Jack Garratt na wengine.

WASHINDI WA TUZO ZA 2016 BRIT 2016

BRITISH MALE SOLO ARTIST

James Bay – WINNER

Aphex Twin

Calvin Harris

Jamie XX

Mark Ronson

BRITISH FEMALE SOLO ARTIST

Adele – WINNER

Amy Winehouse

Florence + the Machine

Jess Glynne

Laura Marling

BRITISH GROUP

Coldplay – WINNER 

Blur

Foals

One Direction

Years & Years

BRITISH BREAKTHROUGH ACT

Catfish and the Bottlemen – WINNER

James Bay

Jess Glynne

Wolf Alice

Years & Years  

BRITISH SINGLE

Adele Hello – WINNER

Calvin Harris & Disciples How Deep Is Your Love

Ed Sheeran & Rudimental Bloodstream

Ellie Goulding Love Me Like You Do

James Bay Hold Back The River

Jess Glynne Hold My Hand

Little Mix Black Magic

Olly Murs ft. Demi Lovato Up

Philip George Wish You Were Mine

Years & Years King

MASTERCARD BRITISH ALBUM OF THE YEAR

Adele 25 – WINNER

Coldplay A Head Full of Dreams

Florence + the Machine How Big, How Blue, How Beautiful

James Bay Chaos and the Calm

Jamie XX In Colour

BRITISH PRODUCER OF THE YEAR

Charlie Andrew – WINNER

Mark Ronson

Mike Crossey

Tom Dalgety

BRITISH ARTIST VIDEO OF THE YEAR

One Direction Drag Me Down – WINNER 

Adele Hello

Calvin Harris & Disciples How Deep Is Your Love

Ed Sheeran Photograph

Ellie Goulding Love Me Like You Do

Jessie J Flashlight

Little Mix Black Magic

Naughty Boy ft. Beyonce & Arrow Benjamin Runnin’ (Lose It All)

Sam Smith Writing’s On The Wall

Years & Years King

INTERNATIONAL MALE SOLO ARTIST

Justin Bieber – WINNER 

Drake

Father John Misty

Kendrick Lamar

The Weeknd

INTERNATIONAL FEMALE SOLO ARTIST

Björk – WINNER 

Ariana Grande 

Courtney Barnett

Lana Del Rey

Meghan Trainor

INTERNATIONAL GROUP

Tame Impala – WINNER

Alabama Shakes

Eagles of Death Metal

Major Lazer

U2

CRITICS’ CHOICE

Jack Garratt – WINNER

BRITs GLOBAL SUCCESS AWARD 

ADELE – WINNER 

Identified by the global sales success of British Acts of their latest project/album.

BRIT ICON AWARD

David Bowie – WINNER

Fierce_The_Little_Mix_girls_L_R_Jade_Thirlwall_Perrie_EdwardsMashabiki (kutoka kushoto ni, Jade Thirlwall, Perrie Edwards, Leigh-Anne Pinnock na Jesy Nelson).Brit Rihanna (3)Drake na Rihanna wakikamua.Brit Rihanna (4)Brit Rihanna (5)

Brit Rihanna (12)Brit Rihanna (11)Brit Rihanna (9)Brit Rihanna (6)Brit Rihanna (8)

Leave A Reply