The House of Favourite Newspapers

Afande Sele Aibuka “Sijafa, Nilipata Ajali” – Video

0

BAADA ya Kuwepo kwa Tetesi kuwa Msanii Afande Sele, kuwa amekamatwa na Jeshi la Polisi kufuatia taharuki aliyozua baada ya kutoa lugha chafu kuhusu mwenyezi Mungu, amezungumza na Global TV Online na kuthibitisha kuwa ni kweli alikamatwa.

Leave A Reply