The House of Favourite Newspapers

Airtel Fursa yamwaga milioni 10 kwa mjasiliamali kuokoa Mazingira

0

AMINA NA MASHINE YA MAJIKO SANIFU PICT 1Mjasiliamali Amina Iddi (20) (kulia ) akijaribu moja ya vifaa alivyokabidhiwa na Airtel kupitia mpango wake wa Airtel Fursa wa kuwezesha vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 24 akizungusha mashine ya kutengenezea majiko sanifu baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo vyenye thamani ya sh10 Mil kijijini kwao Magole mtaa wa Chabwanga wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro jana.

AIRTEL FURSA MAGOLE PICT 2Meneja huduma kwa jamii Hawa Bayumi akimkabidhi kijana Amina Iddi (20) sehemu ya vifaa vya kutengenezea majiko sanifu vyenye thamani ya sh 10 Mil baada ya kuwezeshwa na mpango wa Airtel Fursa katika hafla iliyofanyika nyumbani kwao katika kijiji cha Magole mtaa wa Chabwanga wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro. Kulia ni mama wa Amina, Asia Juma (50) na kushoto ni afisa mauzo wa Airtel Aminata Keita

HAWA NA AMINA AIRTEL FURSA MAGOLE PICT 3Meneja huduma kwa jamii Hawa Bayumi akionyesha moja ya jiko sanifu ambalo bado halijakamili yanayoandaliwa na mjasiliamali Amina Iddi (20)wa tatu kulia baada ya kuwezeshwa na Airtel kupitia mpango wake wa Airtel Fursa katika hafla iliyofanyika nyumbani kwao katika kijiji cha Magole mtaa wa Chabwanga wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro

Leave A Reply