The House of Favourite Newspapers

Alichoandika Adam Mchomvu kuhusu Vanessa Mdee…


Baada ya sekeseke la madawa ya kulevya linaloendelea nchini, mwanamuziki Vanessa Mdee ameendelea kushikiliwa na jeshi la polisi jijini Dar es Salaam.

Mtangazaji wa kituo cha Clouds Fm, Adam Mchomvu, kwenye ukurasa wake wa Instagramu amemtia moyo mwanamuziki huyo na kumwambia avumilie hali aliyo nayo kwa sasa kwani hawezi kufa bali atakomaa kiaskari.

Comments are closed.