The House of Favourite Newspapers

Alichosema Kalanga Baada ya Kupiga Kura Monduli (Picha + Video)

Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbi la Monduli, Julius Kalanga (mwenye miwani) akiwa katika foleni kabla ya kupiga kura.
…Akipokelewa na msimamizi wa uchaguzi.

MGOMBEA ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Julius Kalanga,  baada ya kupiga kura katika kata ya Lepuluka, Monduli jijini Arusha,  amesema kuwa zoezi linaendelea vizuri na amewashukuru wananchi kwa mshikamano kipindi chote cha kampeni.

Uchaguzi katika jimbo hilo umefanyika tena baada ya Kalanga kuhamia CCM.

Comments are closed.