The House of Favourite Newspapers

NEC Yakanusha Mawakala Kukataliwa Jimbo la Monduli – Video

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (kulia) akiongea jambo katika kituo kimojawapo cha kupiga kura Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam.
…Akifanya ukaguzi katika kituo.

MWENYEKITI  wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage amekanusha habari zinazosambazwa kuwa mawakala wote Monduli wamezuiwa kuingia katika vituo vya kupigia kura na kwamba jimbo la Ukonga lenye vituo vya kupigia kura 673 uchaguzi unaendelea vizuri.

Comments are closed.