The House of Favourite Newspapers

Aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai, leo Aanza Kuhudhuria Vikao vya Bunge – Video

0
    Aliyekuwa Spika wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai, leo ameanza kuhudhuria vikao vya Bunge la Bajeti 2022/2023.

Aliyekuwa Spika wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai, leo ameanza kuhudhuria vikao vya Bunge la Bajeti 2022/2023 tangu kujiuzulu Uspika January 06 mwaka huu ambapo amesimama baada ya Spika Tulia kutambua uwepo wake.

Ndugai ameonekana leo ikiwa kinafanyika kikao cha sita cha mkutano wa saba wa Bunge la 12 siku ambayo Bunge linatarajia kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2022/23.

Leave A Reply