The House of Favourite Newspapers

Ali Kiba Afunguka Baada ya Shoo Arusha (Video)

0
Mkali wa Bongo Fleva, Alikiba

MKALI wa Bongo Fleva, Alikiba amesema kuwa uzuri wa Wimbo wa Seduce Me ni kati ya vitu vinavyowafanya mashabiki wengi kuupenda.  Alikiba ameyasema hayo mara baada ya kumaliza kufanya shoo ya Tigo Fiesta Arusha.

“Muziki mzuri na kuinjoy na hata mawasiliano na mashabiki, kujiamini ndiyo siri yangu ya kufanya muziki mzuri. “Seduce Me ni wimbo mzuri tena mkali ndiyo maana unapendwa,” alisema Alikiba.

Leave A Reply