The House of Favourite Newspapers

Angelina Jolie Ampa za Chembe Donald Trump

0

By-The-Sea_Angelina-Jolie-1024x949Angelina Jolie

London, Uingereza

Staa wa filamu, Angelina Jolie amesema kuwa anampinga mgombea urais wa chama cha Republican kuwakataa Waislam wakati Marekani inajengwa na watu wote.

donald-trump-wants-to-wage-economic-war-on-mexico-to-get-them-to-pay-for-a-border-wallDonald Trump.

Angelina alisema kuwa anamshangaa sana mtu ambaye anatarajia kuwa rais wa nchi na tajiri mkubwa kuwagawa watu na kwenda mbali kwa kusema kuwa, yeye anavyoona haendani na mawazo yake kabisa.

“Kwangu mimi Amerika imejengwa na watu wa aina zote bila kujali kabila wala dini, tumekuwa huru siku zote, hasa uhuru wa kuabudu. Sasa inashangaza sana kusikia mtu ambaye anatarajia kuwa rais wa Marekani anasema maneno ya kibaguzi kama hayo,” alisema Jolie.

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE:@shigongotz

Leave A Reply