The House of Favourite Newspapers

Anna Banner ageukia ujasiriamali

Anna-Banner-Miss Nigeria, 2012, Anna Ebiere Banner.Anna-Banner-on

ALIYEWAHI kuwa Miss Nigeria, 2012, Anna Ebiere Banner ameamua kuachana na urembo na kugeukia ujasiriamali.

Anna-Ebiere-Banner-oStaa huyo ambaye yupo kimahusiano na nyota wa muziki kutoka Nigeria, Mr. Flavour kupitia ukurasa wake wa Instagram alitupia picha za mabegi na kuandika maneno yaliyosomeka;

“Habari wapendwa! Nina vitu naviuza, asanteni kama mmevutiwa navyo.”

Anna kwa sasa ana mtoto mmoja wa kike, Sophia aliyejifungua hivi karibuni na Mr. Flavour.

Comments are closed.