The House of Favourite Newspapers

Ini Edo aangusha maombi ukumbini

ini edo.jMkongwe wa filamu Nollywood, Ini Edo.ini edo

MKONGWE wa filamu Nollywood, Ini Edo juzi kati ‘aliwasapraiz’ mashabiki wake kwa kuangusha maombi mfululizo kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa rafiki yao ambaye pia ni msanii, Oge Okoye.

ini edooIni Edo aliangusha maombi hayo wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa na Oge ambapo mchana wake waliutumia kwa kuzunguka na boti.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Ini Edo alitupia picha zote za tuki hilo na nyingine akiwa na marafiki zake Rukky Sanda, Tana Adelana, Ebube Nwagbo na wengine wengi.

Comments are closed.